mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Day one kumiliki gari kila mtu atakuwa na story yake. Ukiacha mengine mi nakumbuka mwenye nyumba wangu at that time aliekuwa kijana mwenzangu mwenye majidai na majisifu sana, mzee saa moja jioni napiga honi na GX 100 mind u ni 2007, jamaa alilowaje? Kesho yake akaniambia nitafute mlinzi after 2 months akadouble kodi, nikaona isiwe tabu nikaweka mlango wa mbele na wa nyuma, plaster, floor, umeme nk vitanikutia humo humo. Kiukweli gari yangu ya kwanza ukiacha ushamba wa kawaida ilinipa changamoto na kulazimika kuhamia nyumba ambayo b4 nilifikiri ningehamia labda after 2 yrs. Incomplete kabisaa@
Unanunua gari wakati uko nyumba ya kupanga