pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
- Thread starter
- #21
Hahahahaaa. Lol
Hivyo Mkuu ulijua Daslam tuna udongo wetu? [emoji23]
Imagination si unajua?
Nilipofikia nakapewa jioni chakula kilikuwa ni chapati mbili na maharage ndio chakula cha jioni. Ukweli nililaani siku ile. Huwa sisahau na ujue nimetoka eneo ambalo jioni msosi ni ugali wa nguvu.
Yaani hata mkipika wali chakula cha ndege lazima ugali uwepo chakula cha wanaume. Alafu napewa chapati!!!!
Usiku ule minyoo iliunguruma sana tumboni sikulala na joto la DaresSalaam ilikuwa balaa yaani niliona nipo jehanamu hivi.