pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
- Thread starter
-
- #21
Hahahahaaa. Lol
Hivyo Mkuu ulijua Daslam tuna udongo wetu? [emoji23]
Kadri umri unavyoongezeka basi akili inapevuka. Mara ya kwanza ni mara ya kwanza nakumbuka sikuwa nimeanza primary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nadhani umri nao huwa ndio sababu mana sasa hivi kama mimi huwa naona sawa tu nikisafiri au ndio kwa sababu nimeshazowea [emoji23]
Hahahaaa. Pole Mkuu.Imagination si unajua?
Nilipofikia nakapewa jioni chakula kilikuwa ni chapati mbili na maharage ndio chakula cha jioni. Ukweli nililaani siku ile. Huwa sisahau na ujue nimetoka eneo ambalo jioni msosi ni ugali wa nguvu.
Yaani hata mkipika wali chakula cha ndege lazima ugali uwepo chakula cha wanaume. Alafu napewa chapati!!!!
Usiku ule minyoo iliunguruma sana tumboni sikulala na joto la DaresSalaam ilikuwa balaa yaani niliona nipo jehanamu hivi.
Nami nimefurahi ukiwa upo salama pia My Dada....Uwe na Mchana mwema..Ahsante sana. Mi Namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa.
Nmefurahi kukuona Mdogo. [emoji120]
Ni kweli kabisa Mkuu.Kadri umri unavyoongezeka basi akili inapevuka. Mara ya kwanza ni mara ya kwanza nakumbuka sikuwa nimeanza primary [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Pole Mkuu.
Japo wa kulibadilisha hili ni nyie nyie mnaokwenda huko kwani wengine huwa wanasambaza sifa ambazo sizo.
Dooh!!Sasa siku ya kwanza kupanda ndege nayo ilikuwa na utamu wake
Balaa nilipoenda chooni baada ya kupupu sasa ni flash uchafu wewe kile kishindo nusura nizimie.
Yaani balaaaaa tupu.
Dooh!!
Miaka ya 2000 mpk 2001, tulikua tukifunga shule tunasafiri mama alikua mpenzi sana wa treni kipindi hicho, hakika it was a very good experience, ile mnaona Milima, miti, na kuzunguka zunguka mule ndani huku Chuma kinatembea, damn I miss the times dah
Wewe Ni pumbavuKwa basi sikumbuki maana nilikuwa mdogo
Kwa treni nilifurahi sana aise, muda mwingi nilikuwa naangaza dirishani kuangalia nje, maana kwangu safari si kutoka tu sehemu moja kuenda sehemu nyingine, bali pia ni kutalii karibu mazingira yote ambayo nitakutana nayo kwenye safari yangu.
Kwa ndege pia nilifurahi mno, na ninachofurahia kuhusu ndege ni pale inapopaa na inapotua, nashangaa watu wengi wanasema huwa wanatapika au wanajisikia hovyo, mie sijawahi kukutana na hiyo hali kwa kweli labda kwa vile nafurahia sana kusafiri.
Travelling is my passion and hobby
Hamna lolote mnataka kupupu nyieNami nimefurahi ukiwa upo salama pia My Dada....Uwe na Mchana mwema..
TwatWewe Ni pumbavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya kwanza kusafiri kwa gari niliona miti ikikimbia kurudi nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app