Siku ya leo alizaliwa mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Mungu ampe maisha marefu

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,563
Siku kama ya leo alizaliwa Mtoto Mwanamume aitwae Godbless J Lema kwa sasa ni Mbunge makini wa Jimbo la Arusha mjini
Kama unamkubali nisaidie kumtakia heri katika kumbu kumbu yake hii muhimu ya kuzaliwa kwake.
Hongera sana mbunge wetu Godbless J Lema tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu zaidi .

Attachments

  • FB_IMG_1477458264081.jpg
    65.1 KB · Views: 91

Biblia inasema kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa kwa kujaa na kusukwa sukwa.Alimwombea Raisi kuwa atakufa kabla ya uchaguzi ujao.KIPIMO HICHO ALICHOPIMA kimrudie na kimpate.Happy birthday kwa leo akiendelea kusubiri kipimo alichopima.
 
Alimwombea wapi?
 
Hongera sana mpiganaji Lema, Mola akupe maisha marefu yenye afya na azidi kukuimarisha zaidi na kukujenga.Endelea kuwapigania wana Arusha mjini na Tz. kwa ujumla.
 
Biblia inasema kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa kwa kujaa na kusukwa sukwa.Alimwombea Raisi kuwa atakufa kabla ya uchaguzi ujao.KIPIMO HICHO ALICHOPIMA kimrudie na kimpate.Happy birthday kwa leo akiendelea kusubiri kipimo alichopima.
Alimuombea lini na wapi tunaomba clip
 
Biblia inasema kipimo upimacho ndicho utakachopimiwa kwa kujaa na kusukwa sukwa.Alimwombea Raisi kuwa atakufa kabla ya uchaguzi ujao.KIPIMO HICHO ALICHOPIMA kimrudie na kimpate.Happy birthday kwa leo akiendelea kusubiri kipimo alichopima.
Mungu tunaomba maombi hayo ya mh. Lema yatimie ili iwe kama anavyoomba lema ameni
 
Maombi aliyemwombea kifo Raisi Magufuli hayo hapo

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akihutubia wakazi wa kata ya Sombetini alikuwa akifafanua juu ya kilichotokea baada ya mzozo wake na Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo na hatua ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kumpongeza Mkuu huyo wa Mkoa.

Aidha Mbunge huyo katika Video niliyoambatanisha hapa amesema kuwa "Kitu kimoja ambacho rais anafikiri yeye ni Mungu na kwasababu amefikiri yeye ni Mungu, basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya Uchaguzi wa 2020".
Wapi amemwombea mbona sijaona?
 
Nimtakie maisha marefu yenye kumpendeza Mungu wake..
Nimuombe pia aendelee kupunguza jazba na mihemko ili asije akawa kama "wale"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…