Siku ya leo alizaliwa mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Mungu ampe maisha marefu

Siku ya leo alizaliwa mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, Mungu ampe maisha marefu

Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ------Lema.

Safi sana kamanda Lema
 
Siku ya kuzaliwa Lema inatukumbusha Jinsi Lema anavyolitaja bure jina la Mungu Kinyume na Biblia inavyosema USILITAJE BURE JINA LA MUNGU.Ona hapo anavyotaja bure jina la MUNGU

Hehee
Binadamu ni noma sana aisee
 
Back
Top Bottom