Siku ya leo hakuna utulivu kabisa kwenye ofisi za umma, mishahara iongezwe

Nyie watumishi kaeni Kwa utulivu kwanza tumilizie miaka minne mwaka1 umeshaisha kwenye Ile mitano kama hutaki KAZI andika barua ya kuacha KAZI msituchoshe Kwanza hata hamna ufanisi.

Wewe unafanya kipi mpaka upewe kipaumbele;

1.Watumishi wanakatwa kodi.Unajua leo serikali imeingiza kodi kiasi gani bwashee😀😀😀

2.Bima ya afya leo wameingiza vitita unalijua hilo.

3.Mifuko ya jamii kama PSSSF wameingiza mabillioni kwa leo tu hivi unajua umuhimu wa watumishi wa umma.

4.Benki na ofisi za microfinances leo zimerejesha marejesho kibwena.

5.Kwanzia leo wafanyabiasha wengi wataanza kuona mauzo ya kueleweka.

📌Wewe unataka upewe kipaumbele umechangia nini kwenye hii nchi.
 
Kwanza atoke kwa shemej akauze hata maj stendi
 
Aaanze kujifunza bodaboda kwanza, baadaye atafikiriwa kununuliwa ya kwake na shemeji.
 
Back
Top Bottom