ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ndo maana Kuna msemo unasema hueleweki Kama mvua za dar.hali ya hewa ya Leo huwezi kuamini Kama Jana tu palikuwa na jua sio la ulimwengu huu,ghafla Leo pamepoa Sana utasema tupo kuzimuni.kimya Sana halafu ukizingatia mifukoni hatuna kitu tarehe mbaya hizi mtu badala ya kufurahia weekend unaanza kujiuliza utaishi vipi na kuimaliza weekend.sijui wenzangu huko mikoani siku ya Leo mmeionaje?huku dar me nimenotice kama vile Kuna tetere,hakuna jinsi zaidi ya kukaa kindege John yaani kimachale machale.vipi huko HaKuna majanga huko pande zenu maana kulivyo livyo Ni Kama vile ardhi inataka imeze mamia fulani ya watu.take care FRI,JAN 18
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app