Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Maisha ni safari ndefu sana kijana wenu nimetimiza miaka 37 lakini mpka sasa mambo hayaeleweki
Sina moja au mbiliiiii
Sina moja au mbiliiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ID tu inatosha mambo kutokueleweka..Maisha ni safari ndefu sana kijana wenu nimetimiza miaka 37 lakini mpka sasa mambo hayaeleweki
Sina moja au mbiliiiii
Tatizo ID yakoMaisha ni safari ndefu sana kijana wenu nimetimiza miaka 37 lakini mpka sasa mambo hayaeleweki
Sina moja au mbiliiiii
Tujipe pole mkuu wangu, huenda tukakumbukwa tukifisha miaka 70Maisha ni safari ndefu sana kijana wenu nimetimiza miaka 37 lakini mpka sasa mambo hayaeleweki
Sina moja au mbiliiiii
Maisha ni safari ndefu sana kijana wenu nimetimiza miaka 37 lakini mpka sasa mambo hayaeleweki
Sina moja au mbiliiiii
Happy birthday!! Tuko pamoja mkuu. Jana nimegonga 51 lakini assets zangu ni vyeti na vitabu tu. Kinachoniliwaza ni kuwa nikifa sihitaji kujizika. Kutakuwa na watu wa kunizika. Wasipokuwepo, halmashauri ipo. Sasa nimeanza ku-focus kwenye maisha ya baadae baada ya kifo.
Mkuu Umusolopogas hongera kwa kugonga nusu karne.Happy birthday!! Tuko pamoja mkuu. Jana nimegonga 51 lakini assets zangu ni vyeti na vitabu tu. Kinachoniliwaza ni kuwa nikifa sihitaji kujizika. Kutakuwa na watu wa kunizika. Wasipokuwepo, halmashauri ipo. Sasa nimeanza ku-focus kwenye maisha ya baadae baada ya kifo.
Mkuu Umusolopogas hongera kwa kugonga nusu karne.
Si wengi miongoni mwetu watakaofika umri huo.
Nimepanda sana uamuzi wako wa kuanza kutafakari maisha baada ya kifo.
Mkuu huwezi kua na vyeti na mavitabu kibao alafu ukawa masikini.Happy birthday!! Tuko pamoja mkuu. Jana nimegonga 51 lakini assets zangu ni vyeti na vitabu tu. Kinachoniliwaza ni kuwa nikifa sihitaji kujizika. Kutakuwa na watu wa kunizika. Wasipokuwepo, halmashauri ipo. Sasa nimeanza ku-focus kwenye maisha ya baadae baada ya kifo.
Mkuu kuna watu hata mlo wa lakh mbili unawashinda