Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Mashoto wengi wanakuwaga villaza sijui kwa nini?
Hahaha...mkuu haya mambo magumu, Na wala kitu kimoja hakitoshi kudefine vingine, me mashoto lakini cjawah pata third class Kati historia yangu yote ya shule ....hapo vip
 
Hahaha...mkuu haya mambo magumu, Na wala kitu kimoja hakitoshi kudefine vingine, me mashoto lakini cjawah pata third class Kati historia yangu yote ya shule ....hapo vip
Hawa wivu tu unawasumbua Hahaha nimewaburuza primary o level pale Azania moto ule ule advanced level Ile Ile sijui inakuaje
 
Nilichapwa sana niache mashoto
Ila haikuwezekana
Tatizo mwandiko wangu ni mbovu mno
 
hata mimi nimo japo naandikia mkono wa kulia,ila mkono unaowajibika sana ni wa kushoto katika shughuli nyingi
 
Mi mi pia ni mashoto, lakini kazini wananisifia kuwa nawajibika sana na nafanya kazi vizuri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenigusa mm naona nipo kwny namba 4 napenda ukweli to the extent huwa nachukiwa na watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenigusa mm naona nipo kwny namba 4 napenda ukweli to the extent huwa nachukiwa na watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kosa lako...ni kosa la MASHOTO[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenifurahisha sana karbu tabia zote za mashoto ulizo mention ninazo.
Na mm n mmoja kat yao, japo ilfikia kipind mpaka wakauchoma mkono wang.
Il tu nitumie mkono wa kulia na kwa kias walifanikiwa. Mpaka sasa naandika na mkono wa kulia na kula pia.
Lakn mkono wang wa kushoto bado una nguvu kubwa kulko wa kulia.
Maana nikimuweka mtu ngum anaweza ata kúzimia.
Najivunia kuwa MASHOTO
 
Nipo hapa mimi shoto na mume wangu shoto watoto wangu wanne kati ya sita ni shoto,nahao waliobakia ni shoto na kuliaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…