Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Nikiwa mdogo sana darasa la kwanza nkipata ajari mbaya sana ya gari mkono wa kulia ukawa haufai tena. Nikaanza kutumia left kwa kila kitu kuanzia kula, kuandika na kushika chochote na hata kupokea vitu kutoka kwa wakubwa, Sikujali!!

Baadae sana mkono wa kulia ukaenda unakaa sawa nkaanza kuandikia kulia lakini kushoto ndio pako active zaid.

Sikuwa mashoto wa kuzaliwa ila nashangaa mwanangu 2yrs old hapend kutumia kulia kwa chochote kile. MASHOTO FEKI KAZAA MASHOTO OG!!
 
Back
Top Bottom