Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Mtoa mada umeeleza 90% ni kweli kabisa...
Nilipokuwa mdg
nilikuwa natumia mkono wa kushoto kuandika baada ya mama kuona nilikuwa napigwa kila siku ili niandikie kulia, kwa hilo alifanikiwa kunibadili.

Mpaka leo hii natumia mkono wa kulia kuandika na kula tu ila vingine na mashoto na ndio mkono wangu wenye nguvu kuliko kulia.
 
IMG-20200813-WA0000.jpg
 
Mkono wa kulia ni wa kulia chakula tuu kwa upande wangu ilikuwa lakini nikajifunza kuandika now natumia mikono yote kuandika but left is my hand kwa kazi zooote
 
Mimi nililazimishwa kutumia mkono wa kulia..matokeo natumia yote kwa vyote...ila kula ..ni shoto....kuandika yote...
 
Msisahau na nyani wote wanatumia mashoto, ila mm nadhani mashoto ndiyo asili yetu waafrika. Kulia tunalazimisha tu. Angalia mtoto mchanga huwa anaanza kutumia sana mkono wa kushoto
 
Back
Top Bottom