Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Kwenye hilo la kukosa usingizi linanikabili muda mwingi, mpaka huwa najiuliza ni nini tatizo?
Kwenye suala la wanyama, paka ni kati ya wanyama ninao wachukia sana. Ila Simba ndie ninayemkubali kuliko wote.
Simba nae paka tu sema mkubwa
 

Afadhali bwana...hii ni mada nzuri....maana tumechoshwa na mambo ya UKUTA, CCM, CHADEMA, UKAWA na kadhalika....
 
hata kiimani katika ukristo mkono wa kushoto ni mkono wa utajiri na mali
 
Kwenye hilo la kukosa usingizi linanikabili muda mwingi, mpaka huwa najiuliza ni nini tatizo?
Kwenye suala la wanyama, paka ni kati ya wanyama ninao wachukia sana. Ila Simba ndie ninayemkubali kuliko wote.
Hali hiyo ninayo mpaka leo inaweza kutokea nimekaa tu kitandani kila nikijaribu kuutafuta wapi mpaka kunakucha.
 
aiseeeee,mada imenihusu mnoo,nilipokua naisoma nilijiona Mimi KBS naezungumziwa,mm walimu hawakunilazmisha kutumia mkono wa kulia,ila baba angu kanigonga sana na rula akikuta naandikia shoto.ukiacha kuandika na kula kwa mkono wa kulia!!!vingine ni shoto tu.mpira na.na zangu zilikua mbili tu uwanjani!!3 na11,basi.
 
USA mara left hand wanafuatana tu ...

kuna imani watu wa mashoto wengi wana bahati sana....
na wengi wana akili sana

mimi mama yangu ni mashoto na ana bahati na akili sana
ila mdogo wangu mashoto aklili zake hafifu sana

wanadai mashoto wengi ni ama awe na akili sana au awe hafifu
hakuna wastani.....
 
Acha mawazo ya kizaman
Mtoa mada ....!
Akili ni karama kutoka kwa Mungu ..!
No matter wewe ni mashoto au malia..!
Uckalili " Elewa"
 
Acha mawazo ya kizaman
Mtoa mada ....!
Akili ni karama kutoka kwa Mungu ..!
No matter wewe ni mashoto au malia..!
Uckalili " Elewa"
Sidhani kama umemuelewa mleta mada. Kumbuka mashoto ni 10% pekee ya watu ulimwenguni. Lakini uwe mkweli tu, angalia impacts zao.
 

Attachments

  • 1471091541762.jpg
    23.7 KB · Views: 80
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…