Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Mm pia ni mashoto nilioyasoma hapo mengi ni ya kweli maana hata mmnimetafuta sana tofaut yetu na Wanaotumia kulia hata mtaani na Chuo nilichotoka niliona yanaendana .
 
Mtoa post umeeleza vyema sana ,kuna changamoto nyingi sana wanazopitia watoto wanaotumia mkono wa kushoto ikiwemo kupigwa na kutengwa, nashauri tuanzishe club yq left handers Tanzania, iwe na majukumu ya kuelimisha na kufundisha watoto lkn vilevile kuibua vipaji vya wototo wanaotumia mkono wa kushoto....nchi nyingi zipo hizi club,tuutendee haki mkono wetu special ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…