Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Patience123...mlifungia "CHURA" mkono wa kushoto? Chura mdudu au CHURA wa SNURA!! au mimi ndo sijaelewa!!
 

hizo tabia ulizotaja karibu zote zinanigusa. ila nilichapwa sana nikiwa darasa la 5. mwalimu alikua hanielewi jinsi navyolaza daftari upside down ndio naandika. na nikiwa form 2 wakati wa kushona handles za cherehani ziko kulia basi ilikua tabu tupu.
 
Comments nyingi zimeniletea idea flani kukubali. Mf: kulazimishwa kujifunza kuandika kwa kutumia mkono was kulia, ilishanitokea. Kufinywa utotoni wakati wa kula kwa kutumia shoto,ishantokea! Kuwa limited ya uzaz kukomea wa3, ndoidadi ya watoto Wang kwa sasa nk,nk. Labda sasa wataalamu wa maumbile ya binadamu watupe analyse zao kuwa mashoto inatokana na mini hasa, tuelewe kiundani zaidi.
 
Teh teh...aisee points hizo zinafanya wengi tuwe mashoto bandia...ila hata malia tuko vzr..
 
tatizo watanzania wengi hufundishwa kuwa mkono wa kushoto ni mkono wa kuchambia,mdogo wangu wa kike ni mashoto mama alikuwa anamsolola sana kutumia mkono wa kushoto kulia chakula coz huohuo anatawazia eti ni mkono mchafu.mimi naona kutumia shoto au lia sio genetic wala nini me nadhani ni incidence tuu.wakat mdogo hujawahi kufanya kazi yoyote unakuwa na uwezo wa kutumia mikono yote kwa uwezo sawia.lakini unapozidi kukua unajikuta unatumia mkono mmoja zaid ya mwengine,hapo ndo unakuwa categorized kuwa wewe ni left or right-hander(sijaprove kwa formal research lakini).mimi ni right-hander lakini kuna vitu nikitumia mkono wa kushoto navifanya vzur zaid hii inategemea na MARA YA KWANZA kufanya hiko kitu nilitumia mkono gani? kwa mfano;ngumi ninayoiamini ina nguvu ni ile ninayorusha na left hand,ukinipa silaha kama mshale au manati nashika kama left-hander coz mara ya kwanza kutumia nilishika hivyo.
 
na nadhani mtu ukiamua unaweza ukaforce ukachange from right to left hander and vice versa.mfano wewe uliforce katika kitu kimoja(kuandika) ukatumia mkono wa kulia ungeamua kuchange mazima ungeweza kazi zote ungefanyia mkono wa kulia.hata watu wanaopata ajali ya mkono au mguu mmoja kupungua uwezo bhas watu hao hutumia mkono au mguu uliobaki effectively haijalishi yeye ni left or right hander.
 
je lefthander lazima awe leftfootedd? au left-footed lazima awe lefthander? haiwezekani ukawa lefthander lakini rightfooted? hao wanasoka uliowataja najua wanatumia mguu wa kushoto,kuna uhusiano gani kati ya kuwa lefthander na leftlegged?
 
Sehemu kubwa ya habari yako nimeamin mtoto wangu anatumia left na ukweli anaenda ng'ombe yaan mpaka akiona Ata kama anafanya nn inabidi aache kwanza amalize kumuangalia na anaweza hata asiondoke eneo Hilo mpaka ukamtoe kwa nguvu

Sent from my D6633 using JamiiForums mobile app
 
Wawooo mtoto wangu mashoto iam happy too
 
Sawa bana mtoa post kila fact ulikuwa ukitoa. Nilikuwa na fananisha na mwanafunzi tulia somanae o_levo. Hadi chuo. Naona faster zinafanana lakini wale wote mashoto tulia somanao walikuwa Wan muandiko mbaya lakin Wan high speed of lighting. Kwenye mtihani mashoto ndio wa kwanza kumaliza maswali, lakini pia hata. HP nilipo Kuwa olev advanced alikuwa mashoto nikaenda chuo nikiwa mwaka wa kwanza rais nilie mkuta alikuwa mashoto lakini hata mwalim wangu alie kuwa ananifundisha somo gum katika masomo nilio mkuwa nikiyasoma technical drawing. Alikuwa mashoto. Yote kwayote nawatakia sikuku njema (mashoto day)

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…