Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Makala nzuri sana najisikia fahari kutumia Mashoto sifa nyingi kati ya hizo ninazo ngoja niishie hapa
 
Pamoja na sifa hizo lakini kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya kwa Mashoto wana weakness zifuatazo:
1.Wanahasira za karibu sana..kununa,Nongwa na kususa kwetu ni kawaida...Ila ni wepesi kusamehe na maisha yakaendelea..

2.Ujanja ujanja mwingiiii,ikiwemo STEALING

3.wengi wao ni waongo(Hasa katika story za kawaida)

4.Hawaogopi kusema ukweli pale wanapoona haki,wajibu,na taratibu zinakiukwa..Ukweli wao huu unawapelekea kuchukiwa na kudhurika pia wakati mwingine...

Mashoto wenzangu samahanini[emoji85][emoji85][emoji85][emoji87]
 


Sent from my GT-I9301I using JamiiForums mobile app
 
Kenyatta mashoto pia. Lakini walio wengi ni kulia bill Gates mwenyewe ni ryt handed..... mwajifariji tuu nq huo mtazamo was vichwa hapo juu ni wa Uwongo kabisaaaaaaaaaa[emoji46]

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Proudly lefthander, kwenye familia yetu tuko watatu tunaotumia kushoto. Ila kipigo kilihusika sana zaman wakati wa kula na kuandika, kuandika ndio walifanikiwa kudhibiti ila vingine vyote ni mashoto
 
Kwa hiyo unachamba kwa mkono Wa kulia[emoji15]
 
Asante sana. Nakiri kuwa mwalimu wangu was nasari aliniadhibu sana kwa kutumia kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…