Mmhh, hi ni Hatari kwakweli..huo muda waliosubiri ajira ni kazi bure ...Tena warudi kusoma wake waanze kusubiri upya duh..Poleni sana waalimu wenye cheti, mmesubiri ajira miaka mingi, bado Tena mnatakikana kurudi tena shule miaka kadhaa, bado Tena mkimaliza msubiri ajira Tena na pengine hakuna hizo ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu hana msaada ndo maana wameweka huu mtonyo hapa ili mjiandae kisaikolojia,dawa ni Lisu tuTaarifa mbaya hii kwa sisi tulio omba maombi ya ajira ya ualimu Serikalini mwezi uliopita tukitumia hivi vyeti vyetu vya Grade A.
Magufuli tuokoe baba! Tutaangamia mtaani.
Kilichofutwa ni mafunzo siyo ajira.Kwahiyo zile ajira elfu 13 za kampeni ndo zimeisha hivyo kwa walimu wa ngazi ya cheti?
Eti wana boresha wahuni kweli hawa watuKwahiyo zile ajira elfu 13 za kampeni ndo zimeisha hivyo kwa walimu wa ngazi ya cheti?
Amesema mtaala huo mpya utaanza kutumika katika mwaka wa masomo 2020/2012 na kwamba mwalimu yeyote mwenye cheti cha ualimu atakuwa na sifa ya kusomea Diploma ya Ualimu wa Elimu ya Awali au Msingi na vile vile atakapohitimu na kufaulu atakuwa na sifa ya kujiunga na Chuo Kikuu kupata Shahada ya Kwanza ya Ualimu kwa elimu ya awali au msingi.
PUUZA TANGAZO LA KUFUTA MTAALA HUO KWA KUWA RAIS MAGUFULI HAWEZI KUKUBALI KITU KAMA HIKI WAKATI HUU
Kuna watu humu hawana jema, siku za nyuma walikua wanapigia kelele mfumo wa elimu na sasa wanaboresha bdo wanapiga kelele sasa sijui hitaji lao ni nn!
Kama kawaida jamaa anatengeneza tatizo kisha analitatua ili aonekaneWakati mkutano ukiendelea live Rais Magufuli amepiga simu na kusema amefuta huo uamuzi umepangwa na watu wasiowatakia mema na ni wapumbavu,amesema waalimu wenye certificate wataendelea ndo maana wametoa nafasi 13,000 za ajira
Cheti ambao tayari wako vyuoni itakuaje?
kweli ametuokoa Baba, Mungu ambarikiUnayemwomba akuokoe humjui tu!