Acha ushamba Kila kitu ni fursa mfano kwangu Mimi mwenye kibanda umiza lazima nijue ili ninijipange kupiga pesa.Tafuta pesa wewe achana na vitu visivyokuongezea kipato
Kwani miaka iliyopita ilikuwaje? Kwa nini isiwe kama ilivyokuwa?wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc
Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv
sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?
au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri
Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
mume wa dada yako ameshalipia king'amuvi hapoTafuta pesa wewe achana na vitu visivyokuongezea kipato
Tafuta pesa wewe achana na vitu visivyokuongezea kipato
Itambidi aposti.! Ni kama vile ameolewa,ataweza lala bila nguo?!nafikiri itaonyeshwa na Azam maana sidhan kama
mkataba wao wa kwanza umeisha...
swali je Manara atapost tangazo la Azam la kuonyesha Simba Day?
Ungesema ni bure kwa msioenda uwanjani, usiseme i bure kabisa. Kama vipi nenda uwanjani, funga safari kama upo bushSimba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
Hata azam wakilipwa wataoneshawakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc