Siku ya mwananchi ilioneshwa AZAM tv, Simba day itaoneshwa na Tv gani

wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc

Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv

sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?

au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri

Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
MO TV Burudani kwa wote.
 
Simba hawana namna kwa Azam tv
IMG_20210905_105758.jpg
 
Unafikiri nani atakuwa amelipia kurushwa kwa hiyo mechi kati ya Simba au Azam Media?!
Azam anaihitaji Simba kuliko Simba anavyoihitaji Azam Media kwaajili ya biashara ya matangazo.
 
tuliambiwa simba iligomea kusaini mkataba na azam
hii ilikuaje
 
wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc

Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv

sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?

au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri

Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
Litaoneshwa azam maana ni biashara,simba wakilipa itaoneshwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc

Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv

sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?

au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri

Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
Kwani miaka mingine huwa ikaoneshwa na TV gani
 
azamtv ndio itaonyesha simba day. jambo la kufanya ni kulipia mapema vifurushi vya azamtv ili kuepuka usumbufu.

kuna uwezekano, siku ya simba day (tarehe 19), system inayosimamia malipo ya azamtv ikazidiwa kutokana na foleni kubwa ya wateja. ili kuepuka usumbufu huu,lipia mapema.
IMG_20210907_083655.jpg
 
Unafikiri nani atakuwa amelipia kurushwa kwa hiyo mechi kati ya Simba au Azam Media?!
Azam anaihitaji Simba kuliko Simba anavyoihitaji Azam Media kwaajili ya biashara ya matangazo.
Jidanganye
 
mbona Azam kila siku wanarusha matangazo kwamba wataonyesha au we ulitaka ionyeshwe na nani
 
Back
Top Bottom