MO TV Burudani kwa wote.wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc
Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv
sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?
au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri
Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
Toka Kapumbu awakekete mumekuwa misukule kabisaKuna Tv inaitwa Makolokolo Tv itaanzishwa ndo itaoneshwa huko.
Kama ni moja itaitwa KOLO TVKuna Tv inaitwa Makolokolo Tv itaanzishwa ndo itaoneshwa huko.
tuliambiwa simba iligomea kusaini mkataba na azamUnafikiri nani atakuwa amelipia kurushwa kwa hiyo mechi kati ya Simba au Azam Media?!
Azam anaihitaji Simba kuliko Simba anavyoihitaji Azam Media kwaajili ya biashara ya matangazo.
Litaoneshwa azam maana ni biashara,simba wakilipa itaoneshwawakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc
Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv
sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?
au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri
Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
Kwani miaka mingine huwa ikaoneshwa na TV ganiwakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc
Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv
sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?
au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri
Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
Nani alikuambiatuliambiwa simba iligomea kusaini mkataba na azam
hii ilikuaje
Sijakuelewa mkuu...Litaoneshwa azam maana ni biashara,simba wakilipa itaoneshwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc
Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv
sasa najiuliza hapa hili tukio la simba day litaoneshwa na tv gani ili kila mtanzania aweze kulishuhudia?
au ndio simba inategemea kurusha tukio hilo kupitia simba app pekee?,,, kama ni hivyo kuna watanzania wangapi wanaweza kuitumia na internet ikiwa vizuri
Simba day bila tv tena yenye big screen ni bureee kabisa
JidanganyeUnafikiri nani atakuwa amelipia kurushwa kwa hiyo mechi kati ya Simba au Azam Media?!
Azam anaihitaji Simba kuliko Simba anavyoihitaji Azam Media kwaajili ya biashara ya matangazo.
Mwamedi na Mpenzi wake Barbara hata Okwi Boban Sunzu anajua hiliNani alikuambia
Basi hao ndio wenye majibuMwamedi na Mpenzi wake Barbara hata Okwi Boban Sunzu anajua hili