maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Kwa hiyo hata Amber Rutty asiwaze eti[emoji3]
pole mkuu kwa kuwaza hamna labda we uwai kumtaftia pesa mke wako na uandae future ya familia yako[emoji23]Mkuu wahi shule kaangalie namba yako ya mtihani achana na ndoto nyevu
biggestJingest
neno mungu lina ukuu kwako ndio maana unatumia herufi kubwa, mi kwangu la kawaida sanaNeno Mungublinaanza na herufi kubwa kuonyesha ukuu wake. Labda kama unamaanisha miungu mingine.
Rekebisha.
ndio huo moto nitaouzima na maji yaliyolaaniwaDu we jamaa asubuhi namna hii umekuja na ndoto ya ajabu namna hii! Wajua tofauti ya mungu na Mungu! Moto wa mungu au miungu hauna tatizo lakini si ule wa Mwenyezi Mungu!
[emoji23][emoji23][emoji23]huna akili baba, eti?
kweli we kunguni wa ulaya unawaza kikunguni kunguni tuuHuo uharo wako wote unasababishwa na afya njema na pumzi tu.
Kimoja kikikosekana utauona ukuu wa Mungu muumba na uwezo wake juu ya kila kitu.
Wewe endelea kumfanya Mungu ni binam yako tu.
ata mi sijuihuna akili baba, eti?
what's wrong