Siku ya mwisho Mungu atakapowaunguza nitawaletea zimamoto

Siku ya mwisho Mungu atakapowaunguza nitawaletea zimamoto

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
amkeni wakuu kumekucha, kwanza niwatoe hofu wakuu kuhusu siku ya mwisho mimi na shetani tunaweka mikakati ya kuaandaa zima moto za kutosha ili kumkomesha uyo mungu wenu na moto wake

tutakua na kila aina ya zima moto koo wakuu msijari moto wa aina yeyote tutaumudu

NB: ila mungu naye ana hasira mbaya sana unajua kwene moto hakuna kitu kinachopona ata chuma huyeyuka

ningependa kuwathibitishia kua msiwe na hofu tuna maji special yalolaaniwa kwa ajili ya kazi iyo ya kuzimia moto
 
Kwa hiyo hata Amber Rutty asiwaze eti[emoji3]
 
[emoji23]Mkuu wahi shule kaangalie namba yako ya mtihani achana na ndoto nyevu
 
  • Thanks
Reactions: bbc
[emoji23]Mkuu wahi shule kaangalie namba yako ya mtihani achana na ndoto nyevu
pole mkuu kwa kuwaza hamna labda we uwai kumtaftia pesa mke wako na uandae future ya familia yako

NB pesa yake ni ya kwake peke yake ila yako ni ya wote
 
Du we jamaa asubuhi namna hii umekuja na ndoto ya ajabu namna hii! Wajua tofauti ya mungu na Mungu! Moto wa mungu au miungu hauna tatizo lakini si ule wa Mwenyezi Mungu!
 
Neno Mungublinaanza na herufi kubwa kuonyesha ukuu wake. Labda kama unamaanisha miungu mingine.
Rekebisha.
 
Neno Mungublinaanza na herufi kubwa kuonyesha ukuu wake. Labda kama unamaanisha miungu mingine.
Rekebisha.
neno mungu lina ukuu kwako ndio maana unatumia herufi kubwa, mi kwangu la kawaida sana
 
Du we jamaa asubuhi namna hii umekuja na ndoto ya ajabu namna hii! Wajua tofauti ya mungu na Mungu! Moto wa mungu au miungu hauna tatizo lakini si ule wa Mwenyezi Mungu!
ndio huo moto nitaouzima na maji yaliyolaaniwa
 
Huo uharo wako wote unasababishwa na afya njema na pumzi tu.
Kimoja kikikosekana utauona ukuu wa Mungu muumba na uwezo wake juu ya kila kitu.
Wewe endelea kumfanya Mungu ni binam yako tu.
 
Huo uharo wako wote unasababishwa na afya njema na pumzi tu.
Kimoja kikikosekana utauona ukuu wa Mungu muumba na uwezo wake juu ya kila kitu.
Wewe endelea kumfanya Mungu ni binam yako tu.
kweli we kunguni wa ulaya unawaza kikunguni kunguni tuu
 
Back
Top Bottom