maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
- #21
maharage ya pwani ni bharaaaJana usiku ulikula maharage ya wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maharage ya pwani ni bharaaaJana usiku ulikula maharage ya wapi?
mi ndo shetani mwenyeweKumbe wewe muabudu shetani?
we unaonajehuna akili baba, eti?
got you mkuuJoker
na badooooooKazi ipo
Tanzania Pekee mtu anaeshauri wenzake wasi comment yeye ndo anacommentkwani enyi watanzania wenzangu kunahaja ya kukoment kwenye thread kama hii???
Mi nafkiri zingine ukisoma unapita tu kama vile umekosea
Mi nmeuliza tu, sijatoa koment yoyte..!!
hahaha karibu sana mkuu kiranga achana na hao walokaririshwa kua mungu yupo afu hawasaidii kwa loloteUsilitaje jina la Kiranga bure.
hahaha karibu sana mkuu kiranga achana na hao walokaririshwa kua mungu yupo afu hawasaidii kwa lolote
daaaah nimecheka adi lite imenipaliaMungu gani anaua mpaka watoto wadogo kwa mafungu bila huruma?
unaweza ukawa moto wa mafuta kwa jinsi nnavo skia skiaMoto wa nini na nani kawasha? Nani alienda huko akauona huo moto? Je ni wa kuni, gas, kuni, mkaa au mafuta?
Umesikia toka kwa nani? Huko kwa Mungu kuna mafuta?unaweza ukawa moto wa mafuta kwa jinsi nnavo skia skia
usinibane sana nipe mda nikupelelezee ili nirudi na majibu sahihiUmesikia toka kwa nani? Huko kwa Mungu kuna mafuta?
Ok hebu fuatilia kwa waliowahi kufika huko na kuushuhudia huo moto watujuze ili tujue namna ya kukabiliana nao tukifikausinibane sana nipe mda nikupelelezee ili nirudi na majibu sahihi
andaa maswali ya kutosha