Siku ya nne leo sijapata haja kubwa

Watu tunatamani tusingekuwa tunakunya halafu wewe tumbo lako limekupa heshima hiyo ya kutokunya halafu unaikataa
 
Kwa hali ya uchumi ilivyo Tanzania,unye kwa chakula gani ulichokula!?

Wapo wanaokunya mkuu... kilamtu ale kwa urefu wa kamba yake
Haki nimecheka sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huwezi kutibu tatizo kama hujui chanzo cha tatizo, hapo kunamawili moja dalili za kufeli kwa figo sababu ya ulevi na unywaji wa pombe kali, au wachawi wamepita na madawa yao, kama ni vilevi funguka hapa nikupe muongozo wa tiba na kama unahisi ni ushirikina jivute kwa sangoma akufanyie yake.
 
Hivi hili neno la kunya halina tafsida yake? Wakaazi wa humu some huwa wanashangaza
 
Kwa hali ya uchumi ilivyo Tanzania,unye kwa chakula gani ulichokula!?

Wapo wanaokunya mkuu... kilamtu ale kwa urefu wa kamba yake
Huku kwetu kunya anasa, mtu hata akijamba ushuzi hauna taste kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…