Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Oct 16, 2025 #61 kyanyangwe said: Nina siku nne sijapata haja kubwa. Nikienda chooni naishia kujamba tu. Nitakua na tatizo gani? Click to expand... Ila hujaona kama inaondoa gharama ya kila siku.Ila pole ndugu,umechukua hatua gani kupata tiba stahiki?Natarajia umeenda hospitali tayari kwa ajili ya uangalizi,tiba ama ushauri sahihi.
kyanyangwe said: Nina siku nne sijapata haja kubwa. Nikienda chooni naishia kujamba tu. Nitakua na tatizo gani? Click to expand... Ila hujaona kama inaondoa gharama ya kila siku.Ila pole ndugu,umechukua hatua gani kupata tiba stahiki?Natarajia umeenda hospitali tayari kwa ajili ya uangalizi,tiba ama ushauri sahihi.
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Nov 6, 2025 #62 Kuna jamaa angu hapa yeye hata week tatu na humkuti akisema humu jukwaaani.. Nazani wote tunamjua agent wa vingunguti 🤣🤣😃😃
Kuna jamaa angu hapa yeye hata week tatu na humkuti akisema humu jukwaaani.. Nazani wote tunamjua agent wa vingunguti 🤣🤣😃😃