Siku ya Nne sasa, KdF Navy yashindwa, Joho atimkia SA kutafuta msaada wa Wazamiaji

Siku ya Nne sasa, KdF Navy yashindwa, Joho atimkia SA kutafuta msaada wa Wazamiaji

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Hili tukio limewavua nguo wakenya wote na Kdf yao dhaifu, jeshi dhalimu lisilo na uwezo limejaa wakikuyu walioiba miskuti wakati wa Uvamizi wa Westgate.
 
Mnaogopa Nini si muombe TZ iwasaidie. Kuna wapiga mbizi hodari Sana toka KMKM na wavuvi wa pweza mwambani. Hata Tanzania Navy. Wanavifa vya kupiga mbizi Mt 100. Walipata bàada ya majanga Mengi ya majini
 
Mnaogopa Nini si muombe TZ iwasaidie. Kuna wapiga mbizi hodari Sana toka KMKM na wavuvi wa pweza mwambani. Hata Tanzania Navy. Wanavifa vya kupiga mbizi Mt 100. Walipata bàada ya majanga Mengi ya majini
Nadhani tutaenda kuongeza idadi ya Vifo vya raia wa Kigeni halafu magufuli aanze kudai Ndege Tausi wake.
 
Divers wetu wao wajiandae kuisaidia CCM itakapozama
 
kiukweli majirani zetu poleni sanaaa ktk hili tupo nyuma yenu ..RIP
 
Hapo ndio unatambua ile ajali ya Ukerewe GoT response team walikuwa serious, waliweza kuopoa miili yote ndani ya muda mfupi, pia kuopoa kivuko. Sasa hawa jeshi nzima wanashindwa gari moja na miili miwili, disgusting.
 
Hata Wazungu wa Sweden walishindwa. The expedition is complex and I see no African navy that would have recovered the body.

Vitu kama hivi huna haja ya kupoteza mudda kuwaelimisha, unawaacha wairirike kama wanaopata raha ya nyeto.
Hayo maji eneo hilo ni 'zero visibility', nguvu nyingi zinatumika maana ni suala very complex, ukweli ni kwamba sisi ndio tuna jeshi bora la wanamaji ukanda huu, FACT, kitu kama hiki kingetendeka Bongo hata hawengeweza kufanya nusu ya tunachokifanya.
Hawa Watanzania wanaojisifia humu, nakumbuka mwaka jana ajali ya MV Nyerere walishindwa kuokoa manusura waliokua hawajafa, wakawateekeza kisha wakaenda kuopoa miili yao, na hata miili yenyewe hawakuopoa yoe, ikumbukwe ajali yenyewe ilikua hatua chache sana karibu na ufukweni
 
Back
Top Bottom