Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
l
Larry Shaw mwanzilishi wa Pi Day akiwa ktk exploratorium.
Keki maalumu.
Siku ya Pi (π) duniani 3.14, March 14 kila mwaka.
Je ulishawahi kusikia sherehe za Siku ya Pi (π) ? Ikiwa bado, basi wengi wanajua kuhusu siku hii muhimu isipokuwa wewe tu!
Siku ya Pi (Pi Day) ilianzishwa rasmi mwaka 1988 kwa ajili ya unyeti wa hii mathematical constant π (Pi) pamoja na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa gwiji la Phizikia, Albert Einstein (14 March, 1879)
Sherehe hizi ufanyika kila tarehe 14 ya mwezi March kila mwaka hasa hasa kwa nchi zilizoendelea. Kwanini basi iwe 14 March? Hii inatokana na umuhimu wa tarakimu tatu za mwanzo ktk expression ya π: yaani 3, 1 na 4 (Pi = 22/7 = 3.14 kwa maana ya uwiano wa mzingo wa duara na kipenyo chake). Chukua duara lolote lile, hata liwe na ukubwa kiasi gani; pima mzingo wake pamoja na diameter yake, ratio ya hizi parameter mbili utaishia na jibu hili: 3.1415926535..
Kuna njia anuai za kusherehekea siku hii. Baadhi ya njia hizo ni kutengeneza midoli ya Pi, kuimba nyimbo za Pi, kula pie na kujadili mambo mbali mbali kuhusu umuhimu wa Pi!
Umuhimu wa Pi!
v Mapiramidi yalijengwa kwa kutumia kanuni ya Pi,
v Hapo zamani, Wa-Misri, Watu wa Babiloni nk walitumia Pi kufanya estimations za mafuriko ya mito mikubwa kama : Hidekeli (Tigris), Frati (Euphrates) na Mto Nile,
v Ktk engineering Fourier analysis,
v Kutafuta eneo la duara lenye nusu kipenyo r, (πr[SUP]2[/SUP]); kutafuta mzingo wa duara, (2πr); kutafuta ukubwa wa sphere (πr[SUP]2[/SUP]h) n.k.,
v Aidha kanuni ya Pi ilitumika ktk mambo ya unajimu (astronomy) na mambo ya survey.
Mwana JF, siku ya Pi kwa mwaka huu 2012 imeishapita kitambo, lakini unaweza kusherehekea pia Approximation Day hapo mwezi ujao tarehe 22 July (22/7) nadhani watu wa Mathematics wanajua maana ya 22/7! Unaweza ukasherehekea kwa kula pie.
π truly is one of the three most fundamental parameters of reality!
http://www.math.com/tables/constants/pi.htm