Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
l
View attachment 57289 Larry Shaw mwanzilishi wa Pi Day
akiwa ktk exploratorium.View attachment 57291 Keki
maalumu.
Siku ya Pi
(π[FONT=Times
New Roman]) duniani 3.14, March 14 kila mwaka.[/FONT]
Je ulishawahi kusikia sherehe za
Siku ya Pi (π[FONT=Times New
Roman]) ? Ikiwa bado, basi wengi wanajua kuhusu siku hii muhimu
isipokuwa wewe tu![/FONT]
Siku ya Pi (Pi Day)
ilianzishwa rasmi mwaka 1988 kwa ajili ya unyeti wa hii mathematical
constant π
(Pi) pamoja na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa gwiji la
Phizikia, Albert Einstein (14 March, 1879)
Sherehe hizi ufanyika kila tarehe
14 ya mwezi March kila mwaka hasa hasa kwa nchi zilizoendelea. Kwanini
basi iwe 14 March? Hii inatokana na umuhimu wa tarakimu tatu za mwanzo
ktk expression ya π:
yaani 3, 1 na 4 (Pi = 22/7 = 3.14 kwa maana ya uwiano wa mzingo wa
duara na kipenyo chake). Chukua duara lolote lile, hata liwe na
ukubwa kiasi gani; pima mzingo wake pamoja na diameter yake, ratio ya
hizi parameter mbili utaishia na jibu hili:
3.1415926535..
Kuna njia anuai za kusherehekea
siku hii. Baadhi ya njia hizo ni kutengeneza midoli ya Pi,
kuimba nyimbo za Pi, kula pie na kujadili
mambo mbali mbali kuhusu umuhimu wa Pi!
Umuhimu wa
Pi!
v [FONT=Times New
Roman]Mapiramidi yalijengwa kwa kutumia kanuni ya
Pi,[/FONT]
v Hapo
zamani, Wa-Misri, Watu wa Babiloni nk walitumia Pi kufanya
estimations za mafuriko ya mito mikubwa kama : Hidekeli (Tigris), Frati
(Euphrates) na Mto Nile,
v Ktk
engineering Fourier analysis,
v [FONT=Times New
Roman]Kutafuta eneo la duara lenye nusu kipenyo r,
([/FONT]π[FONT=Times New
Roman]r[SUP]2[/SUP]); kutafuta mzingo wa duara,
(2[/FONT]π[FONT=Times New
Roman]r); kutafuta ukubwa wa sphere
([/FONT]π[FONT=Times New
Roman]r[SUP]2[/SUP]h) n.k.,[/FONT]
v Aidha
kanuni ya Pi ilitumika ktk mambo ya unajimu (astronomy) na
mambo ya survey.
Mwana JF, siku ya Pi
kwa mwaka huu 2012 imeishapita kitambo, lakini unaweza
kusherehekea pia Approximation Day hapo mwezi ujao tarehe 22 July
(22/7) nadhani watu wa Mathematics wanajua maana ya 22/7! Unaweza
ukasherehekea kwa kula pie.
π truly is one of the three most fundamental
parameters of reality!
PI
Nilizipenda hesabu lakini sikupata mwalimu makini.
I've celebrated the day by watching Life of Pi
while eating fish fry with my ally in Dubai
under the blue sky and a house fly
passing by in a white tie
like a movie from Mumbai
real application ya pie katika maisha halisi hasa ni wapi?
jamani nisaidieni wana hesabu....
Mkuu pie kama zilivo constants nyingine hutumika kutafuta values za quantity husika kama eneo (area) .... kwa wahandisi wanapo design majengo mathalani na vitu vingine huitumia sana ..so matumizi yake ni a bit for advanced needs .
ahaa!! hapo nimeelewa mkuu!
so advanced people ndiyo hufaidi hasa matumizi ya constants nyingi za kisayansi... shukrani
ahaa!! hapo nimeelewa mkuu!
so advanced people ndiyo hufaidi hasa matumizi ya constants nyingi za kisayansi... shukrani
kwa kuongezea tu... tulipokua advance tulikua tunasoma maths na wengine hawakuona umuhimu wake au matumizi yake katika real life!!! ila tulipofika chuo hapa ndipo tuliona matumizi na umuhimu wa maths!!! as far as your question is concerned application za constants nyingi za kimahesabu hasa pi hutumika sana wahandisi katika kudesin structures mbali mbali let say unataka tafuta area ya sphere au mduara...lazima uwe na diameter ya duara husika na kwa kuzidisha na pi unapata eneo husika!!
kwenye kutafuta stress (tension na compression) ambazo zita act katika member flani mfano shaft(katika kudesign machines) pi lazima utaitumia katika kupata area ya hiyo shaft ili mwisho upate stress au force itayo act katika hiyo shaft...
kwa kifupi pi inatumika sana katika sayansi kama physics, chemistry, mathematics, bila kusahau uhandisini..
Uses of Pi
The Everlasting Pi
happy PI DAY!!!!
oh wow! fingers crossed mr LORDVILLE!
aisee mimi nimejaa scarcity and choice kichwani..
nilikimbia physics toka form one aisee..
thank you mkuu Excel !! hahhahahaaaa okey let me put it in this way... ni symbol gani mnatumia kwenye uchumi ku present profit?? je sio pi?? hapo utaona ni kiasi gani pi ilivyo universal!!! thank you and happy pi day once again!!! BTW karibu katika ulimwengu hesabu na sayansi...CHEERRR!!
Umenikumbusha mbali sana
Mzingo=πd2/4
dah zamani sana.
Umenikumbusha mbali sana
Mzingo=πd2/4
dah zamani sana.
Here is the story about pi:
https://docs.google.com/a/*****.com/file/d/0B4igg6aa-hB1ZkJDb3V3NnY2Q2s/edit