Siku ya pili nipo Dar yafuatayo nimejionea

kama ndio hivo basi wanaume wa mikoani na wanaume wa dar hamna tofauti maana itikadi zinaendana
 
ujinga, maisha ya watu yanakuhusu nini sasa kupangiana namna ya kuishi

fata yaliyokuleta kitendo cha wewe kutuletea huu umbea hapa directly tayari ushakuwa mwanaume wa dar vile vile

acha umama mkuu
Hapo sasa unakosea mkuu, wanaume wa Dar sio wambea. Huyo alietoka mkoani na kuchunguza maisha ya watu ndio mbea mwenyewe.
 
Mpaka uje upate matibabu sawasawa na upone basi ujue utakaporudi kwenu mkoani wanaume wenzio watakuwa wanakuona uko tofauti!! Yaani na wewe utaonekana kama mwanaume wa DAR.
 
[emoji23][emoji23][emoji41]ao ni mifano ya wanaume wa dar ..bado uja waona wanaume wa dar wenyewe kabsa .uta shangaa zaidi
 
Nmeona heading nikadhani umetua dar tokea diaspora, kumbe ndo umeingia jiji la ndoto zako toka mkoani. Sasa si kila mtu na hobby yake, kuwa mwanaume si kujitia ugumu kwa kila kitu.
 
Bila video clip tuone kipande cha mazungumzo ya hao unaowaita wanaume wa Dar,hii itakua 100% FICTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…