Siku ya Redio Duniani: Je, ni sahihi kwa wasio na taaluma ya habari kutangaza?

Ni kweli radio zimepoteza mvuto sana kwa sasa kutokana na sababu kadhaa.

1 badiliko kubwa sana maudhui ya maredioni.

2 kuingia kwa smartphones kimepunguza sana uhitaji wa radio kupata habari.

3 kuingia kwa biashara katika Tasnia ya habari na mawasiliano hivyo kuziondoa radio katika misingi ya uhabarishaji kwa hadhira na kuwa business entity.

4 Tasnia ya habari kuingiliwa na watu ambao siyo wanataaluma wa habari.

5 social media pia zimeweza kuziondoa kabisa main stream media katika jukumu la uhabarishaji kwani wananchi wanahabarishana wenyewe bila kusubiri taarifa kwenye vyombo vya habari.

Pamoja na yote hayo radio nyingi hasa FM radios zinafanya kile wanaita edutainment na hivyo uhabarishaji umepungua sana, hivyo ili uendane na mtazamo wa sasa wa media lazima uwe tayari kushift kutoka old school model kuingia kwenye new trends.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ina hakisi uharisia wa maisha na kipindi tunachoishi...
5 social media pia zimeweza kuziondoa kabisa main stream media katika jukumu la uhabarishaji kwani wananchi wanahabarishana wenyewe bila kusubiri taarifa kwenye vyombo vya habari.
 
Ni sawa depends na taaluma yake na current needs haiwezekani mtangazaji by professional ajue kila criteria na continuous changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…