Siku ya Seli Mundu Duniani

Siku ya Seli Mundu Duniani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Juni 19 kila mwaka watu wote duniani huadhimisha siku ya ugonjwa wa Sickle Cell, unaosababishwa na mabadiliko ya chembe nyekundu za damu

Kauli mbiu ya mwaka huu ni Shine The Light On Sickle Cell, ikikusudia kujengea watu uelewa na ufahamu juu ya ugonjwa huu, ikiwemo kusahihisha fikra potofu kuhusiana na ugonjwa huu au mwathirika ili kupunguza vifo na athari zitokanazo na ugonjwa huu
 
Back
Top Bottom