Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA?

Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo?

Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
 
Na mi nashangaa hao makarani hatuwaoni... Au ndo washasepa na tablets??
 
Huku kinondoni mkwajuni jana mjumbe kapita anatutangazia wenye biashara tusifungue tutafungwa au fine ....nikamuuliza inamaana tutapataje huduma muhimu kaishia kunitishia tu
 
SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA?

Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo?

Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
Maduka yamefunguliwa ila wanaokamatwa kariakoo so fair kabisa alaf hao makarani mpaka sasa hatuwaoni.
 
Back
Top Bottom