Siku ya tatu Jet Lumo hatupati maji ya Bomba

Siku ya tatu Jet Lumo hatupati maji ya Bomba

Benderea

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
686
Reaction score
1,303
Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi? Kwa nini maji hayatoki?

Mbona hamjatupa taarifa kuwa mtakata maji?

Kwa nini mnaichongea serikali ya CCM kwa wananchi?

Mh. Mchengerwa hawa wanakuchezea usikubali hata kidogo.
 
Hamia mbweni mkuu, huko ndipo maji yapo kwa kuwa wanaishi na kujenga huko... Huyo uliyemtaja hana msaada wowote
 
Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi ??? Kwa nini maji hayatoki ???
Kuna ukame mkubwa kwenye chanzo cha maji yanayoletwa huko Jeti Lumo.
 
Back
Top Bottom