B Benderea JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 686 Reaction score 1,303 Apr 6, 2024 #1 Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi? Kwa nini maji hayatoki? Mbona hamjatupa taarifa kuwa mtakata maji? Kwa nini mnaichongea serikali ya CCM kwa wananchi? Mh. Mchengerwa hawa wanakuchezea usikubali hata kidogo.
Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi? Kwa nini maji hayatoki? Mbona hamjatupa taarifa kuwa mtakata maji? Kwa nini mnaichongea serikali ya CCM kwa wananchi? Mh. Mchengerwa hawa wanakuchezea usikubali hata kidogo.
Logitech Member Joined Nov 23, 2020 Posts 38 Reaction score 81 Apr 6, 2024 #2 Hamia mbweni mkuu, huko ndipo maji yapo kwa kuwa wanaishi na kujenga huko... Huyo uliyemtaja hana msaada wowote
Hamia mbweni mkuu, huko ndipo maji yapo kwa kuwa wanaishi na kujenga huko... Huyo uliyemtaja hana msaada wowote
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Apr 6, 2024 #3 alafu wanataka kusambaza mabomba ya gesi kwa wakazi wa Dar.hii nchi inavimbwanga akuna mfano.
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Apr 6, 2024 #4 Benderea said: Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi ??? Kwa nini maji hayatoki ??? Click to expand... Kuna ukame mkubwa kwenye chanzo cha maji yanayoletwa huko Jeti Lumo.
Benderea said: Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi ??? Kwa nini maji hayatoki ??? Click to expand... Kuna ukame mkubwa kwenye chanzo cha maji yanayoletwa huko Jeti Lumo.