Siku ya tatu leo, kariakoo katikati na sina umeme, tanesco wanasema wanakuja na hawafiki

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura

Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne?

Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje?

Hawajawahi kuwa serious
 
Wafungulie mashitaka, mkuu. Kama bwawa la Nyerere limekamilika, mvua zipo za kutosha, tatizo ni lipi sasa?

Maana mwisho wa siku wewe utadaiwa kodi bila kujali ulikumbwa na mtikasi wa umeme.
 
Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura

Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne?

Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje?

Hawajawahi kuwa serious
Inne ni kitu gani?
Back to the topic: You have the right to sue them, kitengo cha emergency kiutaratibu huwa kinafanya kazi 24/7.
 
Wanatabia hyoo haata huku .wanza wanajicheleeweshaa alafu wanavishoka wao huwa wanakwambiaa kama. Umeerripot na unanamba yaript uwape elfu kumi natano wakkufanyie. Chap au uendeelee kuwassubiri. Emmergence saa24yaan wanajicheleweshaa ili viishoka wapge hela
 
Ni kweli aisee, leo ni siku ya inne ripoti haifanyiwi kazi?
 
Huwa nawakoromea hadi baadae nawaonea huruma. Ukiwaita kiungwana mara mbili inatosha. Zinazofuata kuwa mkali na mwenye authority kwenye kuongea kwako.
 
Ajabu. Kitu cha msingi kinapuuziwa ila vitu vya kipuuzi vinapewa kipaumbele sana. Usikute hapo hata viongozi walipitisha jicho hapo ila kwenye sehemu ya msingi kama hii, wanapita chap kwa kama upepo bila ya kupepesa hata jicho. Mtoa mada ungeweka picha ya mwanamke na kichwa cha habari cha kidunia ya kisasa, ndani kwenye mwili ndio ungeandika duku duku lako. Bila shaka kwa hii njia ujumbe ungefika hata ikulu potezea mamlaka husika.
😂😂😂😂😂
Nimevaa helmet😎
1000002895.jpg
 
Huwa nawakoromea hadi baadae nawaonea huruma. Ukiwaita kiungwana mara mbili inatosha. Zinazofuata kuwa mkali na mwenye authority kwenye kuongea kwako.
Sahihi, ila hawa jamaa nimewadharau kupita maelezo na kisasi changu nitakilipa kwenye sanduku japo niliwasapoti
TANESCO
 
Ajabu. Kitu cha msingi kinapuuziwa ila vitu vya kipuuzi vinapewa kipaumbele sana. Usikute hapo hata viongozi walipitisha jicho hapo ila kwenye sehemu ya msingi kama hii, wanapita chap kwa kama upepo bila ya kupepesa hata jicho. Mtoa mada ungeweka picha ya mwanamke na kichwa cha habari cha kidunia ya kisasa, ndani kwenye mwili ndio ungeandika duku duku lako. Bila shaka kwa hii njia ujumbe ungefika hata ikulu potezea mamlaka husika.
😂😂😂😂😂
Nimevaa helmet😎View attachment 3179181
Hakika
 
Back
Top Bottom