pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Inne ni kitu gani?Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura
Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne?
Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje?
Hawajawahi kuwa serious
4Inne ni kitu gani?
Back to the topic: You have the right to sue them, kitengo cha emergency kiutaratibu huwa kinafanya kazi 24/7.
Good, ngoja niende msimbazi nikawatolee ripotiWafungulie mashitaka, mkuu. Kama bwana la Nyerere limekamilika, mvua zipo za kutosha, tatizo ni lipi sasa?
Maana mwisho wa siku wewe utadaiwa kodi bila kujali ulikumbwa na mtikasi wa umeme.
Ni kweli aisee, leo ni siku ya inne ripoti haifanyiwi kazi?Wanatabia hyoo haata huku .wanza wanajicheleeweshaa alafu wanavishoka wao huwa wanakwambiaa kama. Umeerripot na unanamba yaript uwape elfu kumi natano wakkufanyie. Chap au uendeelee kuwassubiri. Emmergence saa24yaan wanajicheleweshaa ili viishoka wapge hela
HakikaAjabu. Kitu cha msingi kinapuuziwa ila vitu vya kipuuzi vinapewa kipaumbele sana. Usikute hapo hata viongozi walipitisha jicho hapo ila kwenye sehemu ya msingi kama hii, wanapita chap kwa kama upepo bila ya kupepesa hata jicho. Mtoa mada ungeweka picha ya mwanamke na kichwa cha habari cha kidunia ya kisasa, ndani kwenye mwili ndio ungeandika duku duku lako. Bila shaka kwa hii njia ujumbe ungefika hata ikulu potezea mamlaka husika.
πππππ
Nimevaa helmetπView attachment 3179181
Ndo zao hhzooNi kweli aisee, leo ni siku ya inne ripoti haifanyiwi kazi?