Wakizungumza na waadishi wa habari wameitaka serikali ya kenya iwatambue ili wawe wanatoa kodi kwa serikali yao ya kenya,na wamelaani vikali vitendo vya serikali kuwashitaki kwa kuwaonea wakaenda mbali zaidi kudai serikali iheshimu haki zao kama binadamu!!