Leo ni siku ya Walimu duniani;ninaomba niseme kama ifuatavyo:katika kila wanafunzi 10 wa darasa la tatu(3) hawawezi yafuatayo:-
07 katika yao hawawezi kusoma hadithi ya Kiswahili ya darasa la pili(2);
07 kati yao hawawezi kufanya Hisabati za kitabu cha darasa la pili(2);
09 kati yao hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili(2).
Utafiti huu umefanya katika wilaya 132 nchini Tanzania;na kuhusisha watoto wenye umri wa miaka 07 hadi 16.
Na wakati huohuo serikali kwa mara nyingine tena imerudisha mtihani wa Taifa wa kidato cha pili.