Siku ya Wanawake Duniani: Diamond awatumia ujumbe mzito Wema, Zari, Hamisa na Tanasha

Siku ya Wanawake Duniani: Diamond awatumia ujumbe mzito Wema, Zari, Hamisa na Tanasha

"You always a special place in ma heart, and u know that."
Wema baada ya Diamond kupost post ya kuwapongeza wanawake aliowahi toka nao,Tifa, mama ake na dada zake katika siku ya wanawake.
 
Baada ya kusoma hii post nimehisi jinsia yangu inebadilika...uume wangu umenyofoka limebaki shimo
 
"You always a special place in ma heart, and u know that."
Wema baada ya Domo kupost post ya kuwapongeza wanawake aliowahi toka nao,Tifa, mama ake na dada zake katika siku ya wanawake.
Baada ya post ya diamond kwani wema nae amecomment?
 
Wali date muda mfupi saaana, ile pruuu moaka maka wameachana.. hahaa

So hakua na impact yoyote kwa simba..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa ni marafiki ile project ya joketi ya Tokomeza zero kisarawe Diamond ni mmoja ya mtu aliyeisapoti na kurusha live bure Wasafi tv richa ya kuchangia kununua madawati na joketi akamshukuru public kwenye huo mkutano.
 
Nahisi ni kweli maana wema hakuwahi kumzalia pia listi ya wanawake aliotoka nao ni wengi but kawataja hao tu why? Watu hawasahaugi upendo wa dhati hata siku moja. Wema na Zari ndio wanawake waliompenda kwa dhati itachukua muda kuwapata wanawake dizaini hiIi.

Ila Wema alimpenda sana Mondi enzi hizo hana kitu but ndio hivyo sio wote wanaopendana huishia pamoja
 
"You always a special place in ma heart, and u know that."
Wema baada ya Domo kupost post ya kuwapongeza wanawake aliowahi toka nao,Tifa, mama ake na dada zake katika siku ya wanawake.

You always a special in my heart maana yake nini?
 
Back
Top Bottom