Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Jana ilikuwa ni siku ya wanawake duniani.
Nafikiri tumeona mengi sana pia mnakaribishwa kuandika mliyo yashuhudia hiko kwenu.
Upande wangu nilichoshuhudia na kunishangaza,, post nyingi mitandaoni HAPPY WOMAN DAY ililengwa kwa kumuwish mama Mzazi, bibi, shangazi, Dada, workmate wa kike, na hata maschoolmate wa kike huku ikiambatana na vicopa Vingi. Post hizi wanaoongoza ni wanaume kwa kuwapost na kuwawish watu hao.
Nachoshangaa kwanini wanaume hao hawajawapost wake zao na kuwapamba hivyo?
Nilizani mkeo ndio atakuwa front page kwa kumpost ukizingatia ndie woman day wako bila huyo usingeitwa baba, asingeongeza ukoo wenu kwa kukuzalia watoto, pia nafikiri mnajua mke katika familia na majukumu anayofanya. Sasa kama family yako ipo imara hadi siku ya woman day kwanini usimpongeze?
Unaishia kuwapongeza watu ambao hawajui hata suruali yako ya kazini imenyooshwa saa ngapi,.
Karibuni mdondoshe yenu mliyo yaona siku ya woman day Jana.