Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
 
shukrani bebii
 
asanteni kwa kunipenda .. kwa kutumia fursahii ya siku ya wanawake duniani..

tunahitaji kutunzwa (kupewa hela)
kupendwa
kudekezwa ooh mke wa kikwete mzuri anatunzwa huyo tunza wako uone kama atakuwa mbaya loh ..
asante kwa kunipenda nakupenda pia
 
Ahsante japo hukunitajaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ahsanteee japo kajina hakapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…