Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
Happy women's day to all jf ladiesWanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
hahahhah ngoja ajekwani ana maana ya kunitunzaje ? iutakuwa anazo
acha kuguna guna ukipendwa ringaMmmh...
Wanaume haturingi bhana..ukipendwa unachapa kama mandingoacha kuguna guna ukipendwa ringa
We mtu ni shida sana ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]asanteni kwa kunipenda .. kwa kutumia fursahii ya siku ya wanawake duniani..
tunahitaji kutunzwa (kupewa hela)
kupendwa
kudekezwa ooh mke wa kikwete mzuri anatunzwa huyo tunza wako uone kama atakuwa mbaya loh ..
asante kwa kunipenda nakupenda pia
he he na uwe nalo kama mandingo [emoji85]Wanaume haturingi bhana..ukipendwa unachapa kama mandingo
Litakosekanaje kwa mfanohe he na uwe nalo kama mandingo [emoji85]
Jirani umeadimikaa ,pitia kule kwetuWe mtu ni shida sana ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio mkuu leo hali ya hewa haiko vizuri sijaenda shambaniMkuu huu muda wa kuvuna maharage ujue
hahaha tuma picha tuoneLitakosekanaje kwa mfano
Mmh babyKama namuona shunie ila hiyo aka yake[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mbona unagunaMmh baby
Jirani umenisusa sio poa ujueJirani umeadimikaa ,pitia kule kwetu
Kiongozi nipo majukumu ila tuko pamoja alafu si unajua kijiweni walikiamisha ...[emoji4] [emoji4] [emoji4]Jirani umenisusa sio poa ujue
Poa mkuu ngoja niingie kuleKiongozi nipo majukumu ila tuko pamoja alafu si unajua kijiweni walikiamisha ...[emoji4] [emoji4] [emoji4]