Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Asante sana kwa mama Ray kwa malezi mema Mungu ambariki,ampe maisha marefu na mafanikio ,bila yeye wewe usingekuwepo,asante sana Mondray kwa upendo na kujitoa Mungu akubariki sana ufanikiwe .
 
Asante ubarikiwe sana.Mkuu Daby

Mama apumzike kwa Amani

Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ya furaha na mafanikio.
 



polee kwa momy wetu na asante kwa mapenzi kwetu


sante kipenzi japo lile ombi langu umelipotezea😎😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…