Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Heshima kubwa zimuendee mwanamke nimpendae zaid hapa duniani Mama Ray.. My mother kwa kunifanya niwe hapa nilipo sasa kwa kunilea na kunitunza. Nitakupenda na kukutunza mama yangu uishi maisha marefu.
Nawatakia heei mabinti hawa wafuatao...
Candyscorpion
Joanah
Numbisa
Shunie
Paprika BlessedHope
Asante sana kwa mama Ray kwa malezi mema Mungu ambariki,ampe maisha marefu na mafanikio ,bila yeye wewe usingekuwepo,asante sana Mondray kwa upendo na kujitoa Mungu akubariki sana ufanikiwe .
 
Heri ya siku ya wanawake handy women wote ukianza na maza (rip)

Raymie Kenya
ganja gal
jje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
mahondaw
husna muba
Valentina
Patience123
Senee
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
Kasinde
Mulhat Mpunga
CHIKIRA MTABARI huyu juka nimempokea form one.
Paprika
King'asti
agnes s obedi

Nawapenda kiasi cha kuwasahu hadi majina ambao sijawataja.
Asante ubarikiwe sana.Mkuu Daby

Mama apumzike kwa Amani

Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ya furaha na mafanikio.
 
Heri ya siku ya wanawake handy women wote ukianza na maza (rip)

Raymie Kenya
ganja gal
jje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
mahondaw
husna muba
Valentina
Patience123
Senee
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
Kasinde
Mulhat Mpunga
CHIKIRA MTABARI huyu juka nimempokea form one.
Paprika
King'asti
agnes s obedi

Nawapenda kiasi cha kuwasahu hadi majina ambao sijawataja.



polee kwa momy wetu na asante kwa mapenzi kwetu


sante kipenzi japo lile ombi langu umelipotezea😎😎😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom