Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

haya nitaje sasa kunitakia siku yangu kama mwanamke wa kike, hahahahahahaahahaha
Kama ningejua wewe in K basi sasa hivi ungekuwa unatajwa kwenye cheti cha ndoa na siyo hapa CC.....[HASHTAG]#narenewmpangowangu[/HASHTAG].
 
Kama ningejua wewe in K basi sasa hivi ungekuwa unatajwa kwenye cheti cha ndoa na siyo hapa CC.....[HASHTAG]#narenewmpangowangu[/HASHTAG].
hahahahahahahahahahahahaha kwikwikwikwikwikwi tehe tehe tehe kwidikwidikwidi heheheheheehehehheh
 
Tunakupenda pia Single father wetu, Na wewe ndio Balkia wa nguvu...
 
ambacho nakupendea bibi ni kwamba hupendi mtu akusifia .. Au Yani akusifie au asikusifie atajua mwenyewe..Uishi maisha marefu Bibi
Huyu nae anajuaga kupambanua uongo wa wazee wa Propaganda
 
Salute kwa wanawake wote duniani hasa kwa Mama Ema, lovely mother

Hapa JF wapo wanawake watatu nawaona sana kwenye hard news, wapo critical sana

I real like them
 
Rubii pokea salamu zangu na heri ya siku ya wanawake duniani.Kila nionapo thread yako ama comment iliyotoka kwako daaaaaaah basi itoshe tu kusema upate maisha yenye fanaka kenyekenye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…