Poa mkuuYaaah mkuu ngoja bujbj aje ataniambia
Ulale sasaPoa mkuu
Pamoja sanaOops nakupenda pia kaka angu
Ahsante sana shem
Ahsante sana kaka
Nakupenda,naomba nkutunzeasanteni kwa kunipenda .. kwa kutumia fursahii ya siku ya wanawake duniani..
tunahitaji kutunzwa (kupewa hela)
kupendwa
kudekezwa ooh mke wa kikwete mzuri anatunzwa huyo tunza wako uone kama atakuwa mbaya loh ..
asante kwa kunipenda nakupenda pia
asantee Daby si unajua vile tunavyokupenda mzee waHeri ya siku ya wanawake handy women wote ukianza na maza (rip)
Raymie Kenya
ganja gal
jje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
mahondaw
husna muba
Valentina
Patience123
Senee
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
Kasinde
Mulhat Mpunga
CHIKIRA MTABARI huyu juka nimempokea form one.
Paprika
King'asti
agnes s obedi
Nawapenda kiasi cha kuwasahu hadi majina ambao sijawataja.
shukrani tunakupenda pia mustaphagentleman wetu [emoji8]Sky Elcat
Shunie Penda sana nyie
Mwanaume huwaga hatulali tunapumzikaUlale sasa
Nilijua nimegundua hilo peke yangu. Ukitaka atoke povu mseme vibaya DABTeh teh..Huyo Cocochanel kweli ni mama Bashite..Sio kwa kumtetea kule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo kwenye kupewa hela ndo pa muhimu zaidi.asanteni kwa kunipenda .. kwa kutumia fursahii ya siku ya wanawake duniani..
tunahitaji kutunzwa (kupewa hela)
kupendwa
kudekezwa ooh mke wa kikwete mzuri anatunzwa huyo tunza wako uone kama atakuwa mbaya loh ..
asante kwa kunipenda nakupenda pia
Mzigua upo....heri ya wanawake duniani mpendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo kwenye kupewa hela ndo pa muhimu zaidi.
Acha siasa au hujui maana ya kulala kwani hua unapumzima umekaaMwanaume huwaga hatulali tunapumzika
We utakuwa mtoto hujui wanaume tunavyo pumzika ni tofauti na kulalaAcha siasa au hujui maana ya kulala kwani hua unapumzima umekaa
Labda kila mtu na maana yake mkuuWe utakuwa mtoto hujui wanaume tunavyo pumzika ni tofauti na kulala
We unaelewaje mkuu kupumzikaLabda kila mtu na maana yake mkuu