Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Kama unaona kutafuta hiyo kazi muulize bujibujiKuna mtu mwenye jina hilo hebu mquote tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaona kutafuta hiyo kazi muulize bujibujiKuna mtu mwenye jina hilo hebu mquote tuone
Aiseee ila bado lako ni namba wani duuhKama unaona kutafuta hiyo kazi muulize bujibuji
Ahsante mtoto wake twin. Ila nimemiss story zako za udaku lolWanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
Duuuuh ww unawezana na Daby mchaga mwenzio mm mbembe nikuweke wap Kongo auA man without cash ni kama taka taka vile unaipishia mbali
Machozi yamenitoka [emoji24]
Mkuu ukijua manake utalipenda tu maana jina langu limebeba ujumbe mkubwa we mtagi bujibuji akupe manakeAiseee ila bado lako ni namba wani duuh
Thanks dear!
More shout out to all ladies who make it happen in here. [emoji122] [emoji122] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji106] [emoji106]
atakuja kukujibuEti Bujibuji lina maana gani hili jina
Awwwwwwwww thank you my super kaka [emoji120]
Nikisoma jina lako mm nacheka tu duhatakuja kukujibu
Mkuu kama kuna mtu amesoma chuo cha magereza kiwira ukimuuliza atakwambia nini manakeNikisoma jina lako mm nacheka tu duh
Bahat mbaya chuo sijafika wala sina marafiki wana chuoMkuu kama kuna mtu amesoma chuo cha magereza kiwira ukimuuliza atakwambia nini manake
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
Najua humu wapo walio soma huko au wanaweza wakakusaidia kukuelekezaBahat mbaya chuo sijafika wala sina marafiki wana chuo
Nimeipenda hiyi.ANGALIZO
90% ya uliowaorodhesha hapo ni Midume Mbegu mitupu Mkuu. Usidanganyike na Romantic ID's zao ukadhani ni Wanawake na tambua humu Watu wanachezeana sana akili na usipokuwa makini unaweza ukadhani fulani ni Demu kumbe ukawa unachati na Mjomba wako aliyeko huko Kimbiji au Babu yako aliyeko Ubena Zomoni. Acha kuamini ID 's za humu Mkuu.
Yaaah mkuu ngoja bujbj aje ataniambiaNajua humu wapo walio soma huko au wanaweza wakakusaidia kukuelekeza