Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Basi wanawake wa jf kesho saa 3 niwakute central nna kazawadi kenu
 
[emoji4][emoji4][emoji4]

Mwache aigilizie vya kumfanyia mkewe. Ujue penzi lenu la demo eeeh [emoji4][emoji4]
Usiku Mwema, usisahau kutembea na ATM card kesho tunaanzia Mwembe yanga [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
Werraa werrraa!
Tunashukuru sana
 
Hongeren sana wanawake
Wote wa jf mrlax na kufrahia
Sku yenu

Nijiandae kwa surprise
Ya kwenda kumpa
Bebi mahonda[emoji320] [emoji124]
 
Hongeren sana wanawake
Wote wa jf mrlax na kufrahia
Sku yenu

Nijiandae kwa surprise
Ya kwenda kumpa
Bebi mahonda[emoji320] [emoji124]
Umeniwahi mkuu nilitaka nikuulize kwann huja muwish shemela
 
Back
Top Bottom