Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Heri ya siku ya wanawake handy women wote ukianza na maza (rip)

Raymie Kenya
ganja gal
jje's shemeji yangu
espy
Shunie
LadyAJ
Sakayo
faiza Foxy
La mujar
Lyn Vivac
husna muba
Valentina
Patience123
Senee
Honey Faith
geniveros
joanah
Sky Eclat
Miss Natafuta
miss_blossom
Kasinde
Mulhat Mpunga
CHIKIRA MTABARI huyu juka nimempokea form one.
Paprika
King'asti
agnes s obedi

Nawapenda kiasi cha kuwasahu hadi majina ambao sijawataja.
Wewe ndio umetumaliza wote, [emoji2] [emoji2] [emoji2] shukrani Lazizi chimbuko la moyo wangu kesho jioni nataka orange and mustard chicken tu ili siku yangu itimie.
 
Wewe ndio umetumaliza wote, [emoji2] [emoji2] [emoji2] shukrani Lazizi chimbuko la moyo wangu kesho jioni nataka orange and mustard chicken tu ili siku yangu itimie.

Huo ni wajibu wangu mamy...
Nisipo kufanyia hivyo labda sijatoka katikati ya mapaja ya mwanamke. Siunajua navyokupenda.
 
IMG-20170304-WA0017.jpg
 
Kitu cha kawaida hicho tatizo wagumu balaa hawatak wagen wanataka wakongwe na vbabu kama Asprin, bak, daby n. K
Vijana tuna malengo ya kumiliki uchumi hivyo vibabu vinasubiri kufa ndo maana viko tayari kwa matumizi ya kila aina
 
Back
Top Bottom