Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

Siku ya wanawake duniani, pitia hapa tunawa-appreciate wanawake wa JF

HahHahhh nipo pm kwako Daby nitumie tu [emoji23]
Thitakiii [emoji4][emoji4]...leo siku ya wanawake nitumie wewe kwa ajili ya wanawake wote. Siku ya wanaume nikutumie
 
Thitakiii [emoji4][emoji4]...leo siku ya wanawake nitumie wewe kwa ajili ya wanawake wote. Siku ya wanaume nikutumie
hahahahh siku ya wanaume hakunaga eb tuma au namwambia husna anitumie najua atakua nayo [emoji23]
 
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah (mama la mama aka cheupe ) Sky Eclat (bebii) Shunie (mtoto pajapaja ) Heaven on Earth Heaven Sent miss charming miss chagga Miss Natafuta @lala1 FaizaFoxy (gwiji la lugha) Evelyn Salt ukhuty geniveros Ms.Lincoln cocochanel (mama bashite) MangeKimambi (dada yake bashite) princess ariana Mrs Van Honey Faith miss_blossom lin binti kiziwi moniccca mahondaw na wengine wengi ,si mnajua mko karibia laki hapa JF,
Asante sana Mungu akubariki
 
862590942b8bb4b5359ac323159d8ab8.jpg
Hakuna kama mama
 
Back
Top Bottom