Siku ya Wanawake Duniani/Siku ya Wanawake Tanzania

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA
Picha hiyo hapo chini nniliipata kwa Jim Bailey aliyekuwa akimilika gazeti la DRUM.

Picha hii haikuwapo kabla ya mimi kuipata na kuiweka mtandaoni.
Bailey alikuwa na mswada wa kitabu cha picha Mwalimu Nyerere na akanipatia kwa ajili ya uhariri na kumtafutia ''publisher.''

Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi Mohamed na kushoto wa mwanzo ni Bi. Tatu bint Mzee katikati na Julius Kambarage Nyerere akisindikizwa safari ya kwanza UNO Februari 1955.

 
Kuna mheshimiwa mwingine, naye nguli wa historia alisema hao kinamama walikuwa watawa wa Maryknoll. Shirika katoliki la watawa toka Marekani. 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…